Utambulisho wa blog yetu

Mpenzi msomaji hii ni blog mpya kabisa ambayo kusudi la kuanzishwa kwake ni kuchapisha makala za kitaalamu za taaluma za kiswahili.Tutakuwa na kurasa tofauti tofauti ikiwemo:Fasihi,sarufi,matumizi ya lugha,historia ya lugha,ukalimani na tafsiri,wasifu wa wasanii,na habari mchanganyiko.Tunatumaini blog hii itakuwa msaada kwa walimu,wanafunzi na watu wengine wenye kupenda kujielimisha juu ya taaluma mbalimbali za kiswahili.Tafadhali karibu utufatilie.

Waendeshaji:
Mwalimu Manyuka,M.K na
mwalimu Mshubwa,A

0 maoni:

Copyright © 2012 JUKWAA LA KISWAHILI - Blogger Theme by SoraTemplates